ENG. BARTHOLOMEN BARNABAS MATWIGA
MKUU WA IDARA
Idara ya maji ni miongoni mwa Idara 13 zilizopo katika Halmashauri ya wilaya ya Tunduru. Idara ina jumla ya watumishi 17 Mhandisi 1, Fundi Sanifu 13, Mlinzi 1 na Mtunza kumbukumbu 1. Pia Idara ina gari mbili (2) ambazo hutumika katika kutoa huduma na kushughulikia kazi za kila siku katika idara.
SHUGHULI ZA IDARA.
SEHEMU KATIKA IDARA.
Idara ya maji ina sehemu kuu mbiliambazo ni
MIRADI YA MAJI ILIYOTEKELEZWA NA INAYOTEKELEZWANA IDARA
Halmashauri inatekeleza jumla ya miradi 4 ya maji katika vijiji vya Lukumbule, Amani/Chiungo/Meamtwaro, Matemanga na Mbesa. Aidha miradi 2 katika vijiji vya Amani na Lukumbule imekamilika na inatoa huduma ya maji kwa wananchi wapatao 17,430 . Aidha wananchi wapatao 23,401 wanakusudiwa kupata huduma ya maji baada ya miradi mitatu ya Matemanga, Mtina na Mbesa kukamilia. Taarifa ya mradi mmojammoja ni kama ifuatavyo;-
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.