• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Video

  • KATIKA KUSHEREHEKEA UHURU WA TANGANYIKA.

    December 9th, 2021

    Katika kusherehekea siku ya uhuru wa Tanganyika mkuu wa mkoa wa Ruvuma  General  Wilbert Ibuge  amesema ni muhimu kukumbuka siku ya uhuru wa Tanganyika  kwani ndio uliotupatia fursa ya kuwa na maendeleo katika Taifa letu .

    Rc Ibuge amesema wanao sema na kuubeza uhuru wetu ni vema kuwapuuza ili wasije wakatugawanya na kazi iendelee sababu ndio thamani ya uhuru wetu ni vema kuutunza uhuru wetu ili tupate kuwa na historia nzuri ya uhuru wa Taifa letu.

    Aidha Ibuge amesema baada ya uhuru zimepita awamu tano na kila awamu inamchango wake wa maendeleo katika Taifa hili ikiwemo  Elimu, nishati, Afya na miundombinu na tuna mengi ya kujivunia tangu uhuru mpaka leo hii.

    Hivyo amewaomba wananchi kuwa na ushirikiano katika maendeleo ya taifa letu pia amewaomba Wananchi wa mkoa wa Ruvuma na Watanzania wote tushirikiane katika kuulinda Uhuru wetu maana amani tulionayo hapa kwetu  Nchi zingine wanaitafuta.

    Rc Ibuge amewataka  Wazee walio zaliwa wakati na kabla ya Uhuru wawe wanawaeleza ukweli vijana wa sasa historia ya Nchi yetu wapi tumetoka, wapi  tulipo na wapi tunako kwenda lengo ni kuwajengea Vijana uwezo wa kuielewa historia ya Nchi yetu Vizuri.

  • Dc Mtatiro kamata kamata ya Makundi makubwa ya Ng'ombe ambayo yameingia Tunduru bila kibali ni endelevu

    November 23rd, 2021

    Dc Mtatiro kamata kamata ya Makundi makubwa ya Ng'ombe ambayo yameingia Tunduru bila kibali ni endelevu 


  • Makumbusho ya wapigania Uhuru Masonya kufanyiwa maboresho

    August 13th, 2020
  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
  • 14
  • 15
  • 16
  • Next →

Matangazo

  • No records found
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC Chacha, Aagiza Wanafunzi kupata Mlo Shule.

    May 07, 2024
  • DC Chacha awataka Walimu kukuza Michezo na Sanaa Shuleni

    May 06, 2024
  • MKUU WA WILAYA TUNDURU, AFANYA ZIARA KUKAGUA MIRADI, MWENGE 2024

    April 29, 2024
  • DC Chacha atoa Taadhari Mmonyoko wa ardhi Matemanga

    April 27, 2024
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

Tovuti linganifu

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.