IDARA YA ELIMU YA AWALI NA ELIMU YA MSINGI
SOSTENES MBWILO
Mkuu wa Idara
UTANGULIZI
Idara ya Elimu Msingi ni mojawapo kati ya Idara mbalimbali zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru. Idara hii ina vitengo vinne ambavyo vinaongozwa na Wakuu wa vitengo ambao wanamsaidia Afisa Elimu katika kutekeleza majukumu yake ya Idara ya kila siku.
Idara inafanya shughuli zake kwa kufuata sheria, kanuni, miongozo na taratibu zilizowekwa na TAMISEMI na Serikali kuu kwa lengo la kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata Elimu bora itakayowawezesha kufaulu mitihani yao na kumudu maisha yao ya kila siku katika Nyanja mbalimbali. Idara ina Watumishi ambao wanaweza kutimiza malengo yaliyowekwa na Idara endapo watasimamiwa na kuwepo mazingira ya kufundishia ikiwemo miundombinu mfano, Vyumba vya Madarasa, Madawati, na Matundu ya Vyoo.
Lengo
Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu na kitajumuisha Sehemu nne (4) kama ifuatavyo:-
Sehemu ya Kitaaluma
Sehemu ya Takwimu na Lojistiki
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
Sehemu ya Mahitaji Maalum
Kitengo kinafanya shughuli zifuatazo:-
Sehemu ya Elimu ya Watu Wazima na Isiyo Rasmi
MAAFISA IDARA YA ELIMU YA AWALI NA ELIMU MSINGI 2023
NAMBA
|
JINA
|
CHEO
|
1
|
SOSTENES MBWILO
|
AFISA ELIMU,ELIMU YA AWALI NA MSINGI
|
2
|
MWAJABU LOYAR
|
AFISA ELIMU TAALUMA ELIMU YA AWALI NA MSINGI
|
3
|
ALBERT NAKAMATA
|
AFISA ELIMU MAALUMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI
|
4
|
DUSTAN CHIYOMBO
|
AFISA ELIMU, ELIMU YA WATU WAZIMA NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI
|
5
|
|
AFISA ELIMU VIFAA NA TAKWIMU ELIMU YA AWALI NA MSINGI
|
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.