Imewekwa : September 30th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru inaendelea kutekeleza siku za lishe katika vijiji mbalimbali, hatua ambayo imekuwa na manufaa makubwa kwa wananchi hususan watoto na akina mama. Mpango huu unalenga ku...
Imewekwa : September 1st, 2025
Tarehe 31 Agosti 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru ilizindua rasmi utoaji wa huduma katika zahanati ya kijiji cha Chawisi. Zahanati iliyojengwa na Serikali ya Awamu ya Sita kwa gharama ya ...
Imewekwa : August 28th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Denis Masanja, ameshiriki sherehe ya kumaliza mafunzo ya awali ya Jeshi la Akiba kwa mwaka 2025 yaliyofanyika tarehe 28 Agosti 2025 katika uwanja wa Shule ya Msin...