Imewekwa : April 7th, 2023
Tarehe 16.04.2023 ni siku maalumu kwa mkoa wa ruvuma kupitia wilaya ya Tunduru tunapokea mwenge wa uhuru , siku tisa pekee zimebaki kuukaribisha mwenge wa uhuru....
Imewekwa : April 1st, 2023
Mwenge wa uhuru 2023, katika mkoa wa Ruvuma tunaupokea katika wilaya ya Tunduru tarehe 16.04.2023 , ambapo utakagua miradi ya maendeleo, na mwenge wa uhuru utalala katika wilaya ya Tunduru taraf...
Imewekwa : March 29th, 2023
Mratibu wa zao la korosho wilaya ya Tunduru ametoa elimu kwa wananchi (wakulima ) kuhusiana na zao la korosho kwa jinsi gani wanapaswa kuitunza mikorosho.
Mratibu amewataka wakuli...