Imewekwa : September 8th, 2023
Halmashauri ya wilaya ya Tunduru, imefanya kikao cha kujadili utekelezaji wa masuala ya Lishe kutoka idara mbalimbali na vitengo, kwa kipindi cha robo ya nne (April – Juni 2023), katika ukumbi wa Halm...
Imewekwa : September 7th, 2023
Ujenzi wa darasa lililopo katika Shule ya Msingi Mchangani umefanikiwa, ambapo darasa moja lenye vyumba viwili vya awali na matundu sita ya vyoo vimekamilika kupitia mradi wa kuboresha miundombinu ya ...
Imewekwa : September 7th, 2023
Zahanati ya Mnazi Mmoja imekamilika kwa asilimia 100, baada ya ujenzi wake kwa gharama ya shilingi milioni 50 kutoka serikali kuu. Zahanati hii iliyoko katika eneo la Mnazi Mmoja inalenga kutoa huduma...