Imewekwa : November 7th, 2023
Zahanati ya Mnazi Mmoja imekamilika kwa asilimia 100, baada ya ujenzi wake kwa gharama ya shilingi milioni 50 kutoka serikali kuu. Zahanati hii iliyoko katika eneo la Mnazi Mmoja inalenga kutoa huduma...
Imewekwa : November 6th, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Tunduru Ndg. Milongo Sanga ametoa cheti cha pongezi kwa kata ya Kidodoma, ambayo imefanya vizuri katika usimamizi wa afya na lishe katika robo ya kwanza (Julai Ā Se...
Imewekwa : November 3rd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa, Wakili Julius S. Mtatiro amekagua maendeleo ya ujenzi na ukarabati wa kituo cha Afya Juma Homera, kilichopo kata ya Nakayaya wilayani humo.
Kituo hicho cha af...