Imewekwa : May 15th, 2017
Serikali yaendelea kuboresha mazingira ya shule zake.
katika bajeti ya mwaka 2016/2017 Halmashauri ya Tunduru imeendelea kuweka kipaumbele katika shule kwa kuboresha miuondmbinu yake, kujenga mad...
Imewekwa : May 15th, 2017
serikali kwa kuzingatia sera ya elimu bure na kuboresha miundombinu na mazingira ya kusomea wanafunzi na kupunguza changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu imeaznsha ujenzi wa hosteli...
Imewekwa : May 15th, 2017
Halmashauri ya wilaya ya Tunduru kwa kushirikiana na mfuko wa kilimo wa MIVARF( Marketing, Infrastructure ,Value Addition and Rural Financing) wanatekeleza mradi wa ujenzi wa soko na ghala la kuongeza...