Imewekwa : May 19th, 2024
Chama Kikuu cha Ushirika wa Masoko ya Mazao Tunduru (TAMCU LTD) kimefanya Mkutano Mkuu wa 21,Mei 18, 2024, katika Wilaya ya Tunduru.
Mkutano huo ulifanyika mjini Tunduru na ulihudhuriwa na viongozi...
Imewekwa : May 13th, 2024
Maadhimisho ya Siku ya Familia Yafanyika Kata ya Namasakata, Tunduru
Maadhimisho Siku ya Familia Duniani hufanyika kila mwaka Mei 15, katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru maadhimisho hayo ...
Imewekwa : May 7th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Simon Kemori Chacha, amewaagiza viongozi katika kata na vijiji, pamoja na maafisa elimu kata kuhakikisha wananfunzi wanapata mlo wakiwa shuleni wakati wa masomo.
...