Imewekwa : December 6th, 2021
Mh.Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Bw. Julius Mtatiro amekamata zaidi ya tani kumi za korosho Chafu ambazo zimeingia Wilaya ya Tunduru kutoka Wilaya na Mikoa ya Jirani ambapo korosho hizo zingefanikiwa kuuz...
Imewekwa : December 2nd, 2021
Leo umefanyika mnada wa sita wa zao la Korosho katika Kijiji cha Majimaji chama cha Msingi Majimaji. Jumla ya kilo zilozkuwa zinauzwa leo ni 1,383,172. Wanunuzi waliojitokeza leo walikuwa 10 na walios...
Imewekwa : November 25th, 2021
Mnada wa tano umefanyika leo kijiji cha Kitanda chama cha Ushirika cha Mlingoti Magharibi.
Kilo zilizokuwa zinauzwa kwa leo ni 3,771,868. Wanunuzi walioshinda ni hawa wafuatao kwa kila mnada
Gha...