• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ZIARA YA KIKAZI DC MTATIRO

Imewekwa : May 16th, 2023

Katika muendelezo wa Ziara ya kikazi ya mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Tunduru adv. Julius S. Mtatiro katika shule za sekondari wilaya ya Tunduru  ,leo mei 16, 2023  ameongea na watumishi walimu katika shule tatu za sekondari tarafa ya lukumbule. Alizungumza na  watumishi walimu katika shule ya sekondari  semeni,sekondari ya lukumbule na sekondari ya mpakate. 

Mkuu wa wilaya alisisitiza katika eneo la ufaulu wa kitaaluma, aliwataka wakuu wa shule za sekondari semeni ,lukumbule na mpakate kuweka mikakati imara ya ndani ya shule ili kuwezesha kupandisha ufaulu  ,katika eneo hilo hilo aliwataka wakuu wa shule kujitahidi kuzidi kupunguza au kuondoa kabisa madaraja ya chini ambayo ni daraja la nne na daraja sifuri . 

"Watoto hawa wanahitaji kupatiwa msaada wa kiakili na kimaadili kalingana na mazingira yao ya nyumbani"

Aliwataka watumishi walimu kuwa karibu na wananfunzi katika malezi yao ya kijamii ili kuwatengeneza  katika hali bora ya kisaikolojia na pia kuwapa huduma za ushauri na unasaha. 

Aidha aliwaomba kuwa na ushirikiano,umoja na upendo baina ya watumishi walimu  katika shule zote ili kuongeza uwezo wa kujenga na kupandisha ufaulu katika shule zetu za wilaya ya Tunduru.

Aidha kwa msisitizo aliendelea kuutaka uongozi wa kata kushirikiana na uongozi wa shule kusimamia suala zima la chakula  kwa wanafunzi kwa kuimiza wazazi na walezi kuendelea kuchangia chakula shuleni. 

Mwisho aligusia suala la mahusiano haramu yaliopo baina ya walimu na wanafunzi kwa kuwataka viongozi wa shule kushughulikia hili kwa kufuatilia kwa ukaribu mienendo ya watumishi walimu kwa ukaribu mkubwa, ili kusiwepo na mahusiano ya aina hiyo katika shule, kwasababu kufanya hivo ni kosa kisheria .

"JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA"

"KAZI IENDELEE"

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SULUHU YA KUDUMU Maji Tunduru Yapatikana: Mkataba Wa Bilioni 3.2 Wasainiwa

    May 07, 2025
  • BODI Ya Wakurugenzi wa Mamlaka Ya Maji Na Usafi Wa Mazingira Tunduru (TUUWASA) Yazinduliwa

    May 07, 2025
  • TUNDURU Yajizatiti Kukabiliana na Ugonjwa wa Mpox.

    March 27, 2025
  • TUNDURU Yaungana katika Dua na Iftar

    March 24, 2025
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.