• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

ZIARA YA KIKAZI BALOZI WA MSUMBIJI NCHINI TANZANIA

Imewekwa : May 24th, 2023

Katika muendelezo  wa ziara ya kikazi ya Balozi wa msumbiji nchini Tanzania Mhe.Ricardo Mtumbwuida katika mkoa wa Ruvuma leo May 24,2023 ametembelea katika wilaya ya Tunduru

Barozi Mhe. Mtumbwuida ametembelea katika moja ya eneo ambalo mashujaa wapigania uhuru wa msumbiji waliweka kambi wakati wa ukombozi wa nchi  ya msumbiji na ukoloni,katika matembezi hayo barozi Mtumbwuida alitembelea ukumbi ambao Samora Machel alihutumia kutolea mafunzo ya kijeshi kwa wapiganiaji hao,pia nyumba walizokuwa wakiishi wakati huo wa kambi na pia eneo ambalo mkutano mkuu wa kwanza wa umoja wa wanawake  wa chama cha frelimo ulifanyika na sehemu ya maandaki ambapo wapiganaji hao waliyatumia katika kujihifadhi wakati wa mapigano.

Balozi Mtumbwuida alizungumza na wananchi wa msumbiji waliopo katika wilaya ya Tunduru na kuwataka kuzidi kudumishi amani ,uadilifu na upendo walioukuta katika nchi ya Tanzania ili kuendeleza umoja na mshikamano uliopo baina ya nchi hizi mbili, na kuwahaidi kuweza kujitahidi kutatua changamoto zao zinazowakabiri kama wananchi wa msumbiji.

Balozi pia alizungumza na umoja wa vijana wa  chama cha mapinduzi kuzidi kuonesha uzalendo katika nchi yao ili kuzidi kulifanya taifa la Tanzania kudumu  katika hali ya kimaendeleo na kuzidi kuonesha ushirikiano baina yao na wenzao wa jirani frelimo (msumbiji.)

Matangazo

  • VIWANJA vilivyopimwa vinauzwa. September 06, 2023
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022/2023 July 24, 2023
  • TAARIFA KWA UMMA KWA WENYE VIWANJA HALMASHAURI YA WILAYA TUNDURU. September 07, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU. September 18, 2023
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • TAMASHA la Interschool Bash Lafana Tunduru.

    September 23, 2023
  • MAFUNZO ya Usimamizi endelevu wa Maliasili ya Jamii.

    September 22, 2023
  • JUKWAA la Wanawake lazinduliwa Tunduru.

    September 21, 2023
  • UBORESHAJI wa vyoo 2022/2023 Tunduru

    September 18, 2023
  • Ona Zote

Video

KUELEKEA Mnada wa Mwisho wa Mbaazi Tunduru.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.