• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Wastaafu .Sera mpya ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Imewekwa : May 1st, 2018

“Tumeshuhudia katika vipindi tofauti  katika nchi yetu wastaafu kupata mafao tofauti kutoka katika mifuko ya hifadhi ya jamii” alisema mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh.Juma  Zuberi Homera katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi mkoa wa Ruvuma.

Akizungumza na wafanyakazi kwa niaba ya mkuuu wa mkoa wa Ruvuma Bi. Christina Mndeme , katika maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani (mei Mosi) ambayo kimkoa imefanyika  wilayani Tunduru, Mh. Juma Homera alisema kauli mbiu ni  kuunganishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kulenge kuboresha mafao ya mfanyakazi.

kuungunishwa kwa mifuko hii ya hifadhi ya jamii kunatarajiwa kuleta manufaa kwa wastaafu kwani watakuwa na uwezo mkubwa wa kumudu maisha baada ya kustaafu na kuwa na uhaikika wa kupata mahitaji yao muhimu na kupunguza idadi ya wategemezi.

Mtumishi hodari kutoka ofisi ya mkuu wa wilaya Tunduru bi Neema Luvanda akikabidhiwa zawadi ya mfanyakazi Hodari na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Mh.Juma Homera katika maadhimisho ya sikukuu za mei mosi zilizofanyika kimkoa wilayani Tunduru  katika viwanja vya CCM wilaya.

Pamoja na uboreshaji wa mafao ya wafanyakazi lakini pia mkuu wa wilaya alisema  kuwa pamoja na sheria hii mpya kuanzishwa kuna mapungufu lakini serikali inaendelea kufanya maboresho  na kutengeneza kanuni zitakazosimamia mfuko huu ili kuondoa tofauti zote na malalamiko ya wastaafu.

Aidha Juma Homera aliendelea kusisitiza masuala ya nidhamu,umoja na ushirikiano miongoni mwa watendaji  katika kutoa huduma kwa wananchi kwa weledi na kuzingatia sheria na kanuni za utumishi wa Umma bila ya ubaguzi wa itikadi za dini, siasa au kabila.

Hata alitoa maagizo kwa maafisa masuhuli kusimamia watendaji wanaosimamia ukusanyaji wa mapato kutotoa mwanya kwa baadhi ya wafanyabishara ambao wanakwepa kulipa kodi kwa vigezo mbalimbali.


Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SULUHU YA KUDUMU Maji Tunduru Yapatikana: Mkataba Wa Bilioni 3.2 Wasainiwa

    May 07, 2025
  • BODI Ya Wakurugenzi wa Mamlaka Ya Maji Na Usafi Wa Mazingira Tunduru (TUUWASA) Yazinduliwa

    May 07, 2025
  • TUNDURU Yajizatiti Kukabiliana na Ugonjwa wa Mpox.

    March 27, 2025
  • TUNDURU Yaungana katika Dua na Iftar

    March 24, 2025
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.