Timu ya ukaguzi wa miradi kutoka Ofisi ya mkuu wa mkoa walifanya ukagazi wa miaradi mabali mbali ya maendeleo katika halmashauri ya wilaya ya tunduru, na hapa wapo
katika kikundi cha vijana waponda kokoto mshikamano kilichopop eneo la mkwanda wilayani Tunduru.
katika picha ni watumishi ngazi ya mkoa wakipokea taarifa ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa barabara ya skimu ya umwagiliaji ya Lelolelo yenye urefu wa KM 3.5, mradi unaofadhiliwa na mfuko wa MIVARF. Katika picha kutoka kulia ni Afisa Mipango mkoa ndg Edmundi Siame, akifuatiwa na mwekahazina mkoa na Afisa Kilimo wa mkoa ndg Tarimo.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.