• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

TPDC Yaboresha Huduma za Afya

Imewekwa : February 7th, 2018


Shirika la maendeleo ya Nishati ya mafuta ya petroli Tanzania (TPDC) wamechangia milioni 25 ujenzi wa kituo cha afya Nakayaya wilayani Tunduru ikiwa  kuunga mkono 

juhudi za Mkuu wa wilaya hiyo Juma Zuberi Homera,  katika kupunguza msongamano wa wagonjwa katika hospitali ya wilaya amabyo inazidiwa na wagonjwa kutokana na 

ongezeko kubwa la wagonjwa na kupokea wagonjwa wa rufaha kutoka vijiji vya pembezoni.


Akizungumza na waandishi wa habari, wakuu wa Idara na Vitengo wakati wa kukabidhi hundi hiyo kwaMkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Zuberi Homera,

 Mkurugenzi wa mawasiliano TPDC Bi Maria Mseremo kwa niaba ya mkurugenzi mkuu TPDC amesema kuwa shirika la maendele ya mafuta ya Petroli Tanzania (TPDC) 

linafanya kazi katika mikoa ya kusini ya Lindi, Mtwara na mkoa wa Ruvuma  tumefika Wilaya ya Tunduru.

 

 "tunakabidhi hudhi ya Milioni 25 ikiwa ni mchango wa kuendeleza ujenzi wa Kituo cha Afya Nakayaya ili kupunguza kesi za wagonjwa kusafirishwa kwa 

Wingi kwenda katika Hospitali za Masasi na Ndanda na kurahisha huduma karibu na wananchi walio wengi na kuungana na sera ya awamu ya tano ya 

kuboresha huduma za afya " alisema Bi Maria Mseremo.

Mkurugenzi wa mawasialiano shirika la TPDC Bi Maria Mserema akizungumzaa na vyomba vya habari wakati wa kukabidhi hudhi ya milioni 25 iliyotolewa na shirika hilo katika kuchangia ujenzi wa kituo cha afya Nakayaya Wilayani Tunduru 


Aliendelea kusema kuwa shirika linatoa huduma sehemu ambazo zina uhitaji lakini kwa sasa tupo katika mikoa ya kusinina tumefanya kazi kwa karibu na sana Mtwara na 

Lindi katika kuboresha huduma za jamii.


Kwa Upande wa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Juma Zuberi Homera ameshukuru na kupongeza moyo wa kujitoa na kushirikia katika shughuli za maendeleo 

Shirika la TPDC kuona umuhimu wa kuchangia Wilaya zilizopo pembezoni  mwa nchi kama Tunduru na kutoa rai kwa mashirika mengine kuiga Mfano wa TPDC

 kwani wangeweza kwenda kutoa mchango katika mikoa kama Arusha, Mwanza na Dar es salaam.


"nimpongeze mkurugenzi wa Shirika la TPDC kwa mchango wa ujenzi wa Kituo cha Afya Nakayaya wa Milioni 25 kwani zimesaidia sana katika

kuendeleza na kuongeza kasi ya ujenzi huo hadi kufikia sasa ujenzi upo katika hatua za kuezeka"

Wakuu wa Idara na vitengo wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Tunduru Juma Homera  baada ya makabidhiano ya hundi ya kuchangia ujenzi wa kituo cha afya nakayaya na Mkurugenzi wa Mawasiliano TPDC mapema leo bi Maria Mserema aliyemuwakilisha Mkurugenzi mkuu TPDC.

Hata hivyo aliwakaribisha TPDC kuendelea kuchangia katika shughuli nyingine za kijamii kwani wilaya ya Tunduru ina mahitaji makubwa sana katika sekta mbalimbali ikiwemo michezo,  elimu na nyinginezo.






Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SULUHU YA KUDUMU Maji Tunduru Yapatikana: Mkataba Wa Bilioni 3.2 Wasainiwa

    May 07, 2025
  • BODI Ya Wakurugenzi wa Mamlaka Ya Maji Na Usafi Wa Mazingira Tunduru (TUUWASA) Yazinduliwa

    May 07, 2025
  • TUNDURU Yajizatiti Kukabiliana na Ugonjwa wa Mpox.

    March 27, 2025
  • TUNDURU Yaungana katika Dua na Iftar

    March 24, 2025
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.