• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA TUNDURU KATIKA UZINDUZI WA SIKU ZA KUPINGA UKATILI

Imewekwa : November 25th, 2022

Mwenyekiti msaidizi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru  Mh. Saidi Bwanali alihutubia katika uzinduzi huo wa siku kumi na sita (16) za kupinga ukatili kwa wanawake na watoto,  katika wilaya ya Tunduru kata ya jakika  katika kijiji cha  kajima , katika hotuba yake  mwenyekiti wa Halmashauri aliongelea masuala mbalimbali yatakayo wajenga  katika kupinga ukatili dhidi ya wanawake na watoto .

Mwenyekiti aliwaomba wazazi  kuwalea watoto wao katika malezi ya kidini  ili watoto hao wawe katika maaadili mema na mazuri ambayo yatawaoelekea kupata kizazi chema kwa baadae, na kuwasihi wazazi kuwapa mahitaji bora  ambayo mtoto  anatakiwa kupewa kama vile haki ya elimu .

Pia aliwaomba wakina baba kuwatunza wake zao kwa kuwapa mahitaji yote ambayo wanahitajika kutoa kwao , na kuwataka wakina baba  kukomesha kabiza vitendo vya kuwafanyia ukatili wanawake kw kuwapiga ama ukatili mwingine wowote ule katika familia zao.

Pia mwenyekiti aliwataka wanawake/wanakina mama kuwaheshimu waume zao  na kuwapa yale yote yanayaostahiki katika ndoa na familia zao , akawataka pia wanawake kutunza watoto wao hata kama ni watoto wa kufikia kwa baba ili waweze kuwasaidia baadae katika maisha yao.

Aidha mwenyekiti alisisitiza usawa katika familia  hasa katika kutoa mawazo katika familia ili kujenga  familia iliyo bora na imara katika maamuzi  ya kifamilia

Matangazo

  • KUITWA KAZINI TUNDURU DC July 09, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022- 2023 January 04, 2023
  • Watumishi wa Umma walioma mwezi julai August 12, 2018
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliopangiwa kidato cha tano mwaka 2019 June 02, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Pongezi kwa Dc Mtatiro

    January 26, 2023
  • Makusanyo Robo ya 1&2 Tunduru Dc Bilioni 2.5 Sawa na 54%

    January 26, 2023
  • BILIONI 26.7 ZAINGIA KWENYE MZUNGUKO KUPITIA ZAO LA KOROSHO

    January 19, 2023
  • Makabidhiano ya Gari Isuzu Tani 7 kati ya Mwenyekiti wa Halmashauri na Mkurugenzi wa TAMESA

    January 18, 2023
  • Ona Zote

Video

KILO 1,147,287 ZA KOROSHO ZIMEUZWA KWENYE MNADA WA SABA TUNDURU DC
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.