• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Mnada wa Kumi wa korosho Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

Imewekwa : December 30th, 2021

Leo umefanyika mnada wa Kumi wa zao la Korosho katika maeneo ya  Kata ya Tuwemacho Kijiji cha Nasya chini ya usimamizi wa Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Tamcu Ndg Pino Chipojola. Jumla ya kilo zilozkuwa zinauzwa leo ni 2,290,234. Wanunuzi waliojitokeza leo kwa kutumbukiza barua za kuomba kununua kwenye boksi walikuwa 6 na walioshinda mnada ni hawa wafuatao kwa kila ghala;

A. Ghala la Daywinry

1.Vndp company ltd kilo 2,290,234 kilo 1 Tzs  1700/=

2.Ajali trade ltd kilo 600,000 kilo 1 Tzs 1757/=

B: Ghala la Zuma

1. Golden Cashws ltd kilo 200,000 kilo 1 Tzs 1501/=

2. Ph Agro  commodoties  kilo 550,000 kilo 1 Tzs 1770 =

3.Export trading ltd kilo 400,000 kilo 1 Tzs 1760/=

C: Ghala la Kossa

1. Ph Agro  commodoties  kilo 243,000 kilo 1 Tzs 1775 =

2. Golden Cashws ltd kilo 230,000 kilo 1 Tzs 1758/=

Na kufanya jumla ya kilo 2,290,234  kuuzwa kwa bei wastani ya Tzs. 1,749 na hivyo kufanya jumla ya fedha zilizoingia kwenye mzunguko wa fedha Wilaya ya Tunduru na Mkoa wa Ruvuma kuwa Tzs. 4,005,619,266



Matangazo

  • Matokeo ya kidato cha Nne, QT, Kidato cha Pili, na Darasa la Nne January 17, 2021
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 22, 2021
  • TANGAZO LA KAZI-Watendaji wa vijiji ,Madereva na Katibu Mahsusi May 20, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 19, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI

    May 02, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MUUNGANO

    April 27, 2022
  • MWENGE WA UHURU 2022

    April 11, 2022
  • hafla ya upandaji miti

    March 31, 2022
  • Ona Zote

Video

KATIKA KUSHEREHEKEA UHURU WA TANGANYIKA.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.