• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAAZA LA MADIWANI ROBO YA KWANZA MWAKA WA FEDHA 2022-2023

Imewekwa : October 28th, 2022

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Tunduru  (aliesimama) Mh Hairu hemed musa alimshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MAMA SAMIA SULUHU HASSAN Kwa kuonyesha lengo la dhati la kuinua Elimu Nchini katupatia Milioni 200 kwajili ya Ujenzi wa Madarasa 10 Mapya Elimu Sekondari,

Pia katika mwaka wa Fedha 2021/2022 Serikali ya awamu ya sita imetoa jumla ya Bilioni 3.9 zilizo tumika kujenga Barabara za Lami Kilomita 3.16 kwa jumla ya Tshs 1,494,644,000.00, Barabara kwa kiwango cha Changarawe Kilomita 80 zenye jumla ya Tshs 1,280,000,000.00. 

Pia Ujenzi wa daraja moja kubwa na madaraja madogo mawili ambapo jumla ya Milioni 400 zimetumia  Aidha Wanatunduru tunatambua mchango wa Mama katika jitiada zake za kuhakikisha Tunduru tunapata Maji safi na salama Ndugu zangu sisi sote hapa ni mashuuda kwa Sasa kuna miradi mbalimbali ya RUWASA inaendelea kutekelezwa katika maeneo yetu ya kiutawala ikiwemo mradi mkubwa wa Maji wa Marumba kwenda Mchoteka, Upande wa Afya Ujenzi wa Vituo vya Afya vinne (4) ambavyo ni Masonya, Nalasi, Mchesi na Nampungu uliogharimu zaidi ya Bilioni 1.5 Unaendelea vizuri  

Pia Mwenyekiti alipenda kuwashukuru Waheshimiwa Madiwani pamoja na Wenyeviti wa kamati mbalimbali za kudumu kwa Ushirikiano na Michango mbalimbali mnayoendelea  kunipatia. Hii yote ni kwajili ya kuhakikisha wananchi wa Wilaya ya Tunduru Wanapata huduma bora na zenye tija.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA LISHE Tunduru Yajadili Mikakati Ya Kuimarisha Afua Za Lishe Katika Jamii.

    November 13, 2025
  • DC MASANJA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA MAJI MSINJI, ATAKA UKAMILISHWE HARAKA

    October 24, 2025
  • DC MASANJA ATOA WITO WA AMANI KWENYE UCHAGUZI, AENDELEA KUPIGA VITA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI TUNDURU.

    October 23, 2025
  • DC MASANJA AFANYA KIKAO NA TANAPA KUJADILI MIKAKATI YA KUIMARISHA MASUALA YA UHIFADHI TUNDURU.

    October 22, 2025
  • Ona Zote

Video

RC RUVUMA AWAPA POLE WANANCHI AMBAO NI MAJERUHI WA MGOGORO BAINA YA WAFUGAJI NA WAKULIMA TUNDURU
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.