• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

KUELEKEA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA

Imewekwa : April 24th, 2024

Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tunduru imeungana na watumishi pamoja na wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru kufanya usafi katika maeneo mbalimbali ya wilaya kama sehemu ya shughuli za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Akizungumza baada ya kumaliza kufanya usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Tunduru, Katibu Tawala wa Wilaya ya Tunduru, Ndg. Milongo Sanga, amesema zoezi hili la usafi liwe endelevu katika kudumisha hali ya usafi katika Wilaya ya Tunduru.

“Niwashukuru kwa kujitokeza katika zoezi hili la kufanya usafi, tulifanye kama jadi yetu ili kudumisha usafi katika mazingira yetu”. Alisema Sanga.

 Aliongeza kuwa, katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano wa Tanzania, tarehe 25 Aprili, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr. Samia Suluhu Hassan, atahutubia taifa kuelekea miaka 60 ya Muungano Tanzania,ambapo Wilaya ya Tunduru itashuhudia hotuba hiyo mubashara katika Viwanja vya Baraza la Idd kuanzia saa 3 kamili usiku. ambapo, kutakuwa na maonyesho ya wazi ya Televisheni  kwa wananchi wote.

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Ndg. Masanja Kengese, amewashukuru wananchi na watumishi kwa kushiriki kikamilifu katika zoezi hili la usafi. Amewataka wananchi kuendeleza zoezi hili la usafi katika maisha yao ya kila siku ili kudumisha mazingira safi na salama.

Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanzania yanaadhimishwa nchini kote kwa shughuli mbalimbali  ikiwemo , Sala za kuliombea taifa, semina, na mashindano ya michezo. Maadhimisho haya yana lengo la kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania, pamoja na kukumbuka historia ya mapambano ya kupigania uhuru na umoja wa nchi.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SULUHU YA KUDUMU Maji Tunduru Yapatikana: Mkataba Wa Bilioni 3.2 Wasainiwa

    May 07, 2025
  • BODI Ya Wakurugenzi wa Mamlaka Ya Maji Na Usafi Wa Mazingira Tunduru (TUUWASA) Yazinduliwa

    May 07, 2025
  • TUNDURU Yajizatiti Kukabiliana na Ugonjwa wa Mpox.

    March 27, 2025
  • TUNDURU Yaungana katika Dua na Iftar

    March 24, 2025
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.