• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Maliasili na Utalii
      • Ushirika
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo,Utamaduni na Sanaa
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Huduma za Watumishi
    • Elimu
      • Elimu ya awali na elimu msingi
      • Elimu Sekondari
    • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

DC Mtatiro atoa wito, Daraja la Muhuwesi

Imewekwa : February 13th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Mheshimiwa Julius S. Mtatiro, ametoa wito kwa madereva, abiria, wasafiri na wananchi wote kuwa wavumilivu kutokana na hali ya Mto Muhuwesi kujaa maji na kushindwa kupitika kwa magari.

Hali hii imeathiri usafiri kuelekea Mtwara, Dar es Salaam, Lindi na Pwani Na kutoka katika mikoa hiyo kuelekea Tunduru, Namtumbo, Songea Njombe, Iringa na Mbeya.

Akizungumza wakati wa ziara yake katika Daraja la Mto Muhuwesi, Mheshimiwa Mtatiro amesema kuwa usalama wa wananchi ni kipaumbele cha kwanza cha serikali, pia ametoa wito kwa  Wahandisi  wa TANROADS kufanya ukaguzi wa kina wa daraja hilo baada ya maji kupungua kabla ya kuruhusu magari kupita.

"Ninaomba radhi kwa usumbufu wowote unaoweza kutokea kutokana na hali hii. Tunaomba wananchi wawe wavumilivu wakati tunasubiri maji kupungua na TANROAD kufanya ukaguzi wa daraja. Usalama wa wananchi ni kipaumbele cha kwanza cha serikali," Mheshimiwa Mtatiro amesisitiza.

Mheshimiwa Mtatiro ametoa wito pia kwa wananchi kuepuka kuvuka mto kwa miguu wakati maji yamejaa kwani ni hatari, Amewahakikishia Madereva  na Abiria usalama wa mali zao  wakati wa kipindi chote watakapokuwepo katika eneo hilo.

Kwa niaba ya Madereva wa Magari yaliokwama  kutokana na kadhia hiyo, Ndg. Fabian Ignas Mnyenyelwa  Dereva wa magari makubwa ya kusafirisha Makaa ya Mawe, amesema kadhia hiyo inawaathiri kwani wametumia muda Mrefu katika eneo hilo ambalo halina huduma za kijamii, pia ameiomba serikali kufanyia marekebisho Daraja  hilo , ikiwezekana kwa kuliinua zaidi ya kina kilichopo kwa sasa.

Aidha kwa upande wao wananchi wa Kijiji cha  Muhuwesi wamesema  kujaa kwa daraja hili kunapelekea kusimama kwa shughuli za kijamii na kiuchumi  kuna wananchi wapo upande wa pili wa daraja ambapo walikwenda mashambani na wameshindwa kurejea kutokana na kujaa maji ktikaa Daraja hilo

Hali ya Mto Muhuwesi imekuwa ikifuatiliwa kwa karibu na mamlaka husika, na taarifa zaidi zitatolewa pindi hali itakapobadilika.

Matangazo

  • MKOPO WA HAZINA KWA WATUMISHI WA UMMA FUNGU 82N2 March 25, 2025
  • TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KWA UTARATIBU WA KUJITOLEA October 01, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA December 12, 2024
  • ORODHA YA MAJINA YA WANAOTAKIWA KUSHIRIKI USAILI WA AJIRA YA MUDA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA WILAYA YA TUNDURU January 12, 2025
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • SULUHU YA KUDUMU Maji Tunduru Yapatikana: Mkataba Wa Bilioni 3.2 Wasainiwa

    May 07, 2025
  • BODI Ya Wakurugenzi wa Mamlaka Ya Maji Na Usafi Wa Mazingira Tunduru (TUUWASA) Yazinduliwa

    May 07, 2025
  • TUNDURU Yajizatiti Kukabiliana na Ugonjwa wa Mpox.

    March 27, 2025
  • TUNDURU Yaungana katika Dua na Iftar

    March 24, 2025
  • Ona Zote

Video

WANANCHI WAENDELEA KUPATIWA MAFUNZO KWA VITENDO ILI KUTATUA MIGONGANO YA BINADAMU NA WANYAPORI.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.