• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

DC MTATIRO AKABIDHI PIKIPIKI 64 KWA MAAFISA KILIMO TUNDURU

Imewekwa : June 24th, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Bw. Julius Mtatiro amekabidhi pikipiki kwa Maafisa kilimo wa Wilaya ya Tunduru uku akiwataka kuwa wawatumikie wakulima kwa uadilifu mkubwa kwani kabla ya kupata pikipiki hizo maafisa kilimo wengi walikuwa hawaendi kuwatembelea wakulima kwa kisingizio kuwa hawana usafiri.

Aidha Dc Mtatiro amewataka Maafisa kilimo hao kuwa hizo pikipiki sio za kufanyia starehe au mizunguko yao binafsi endapo ikibaina kuna afisa kilimo anatumia pikipiki hizokinyume na malengo ambayo yalitarajiwa hivyo hatua kali itachukuliwa zidi yake.

Dc aliendelea kusema  pongezi nyingi zimuendee Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluu Hassani kwa kuipatia Wilaya ya Tunduru Pikipiki 64 za Maafisa Kilimo uku matarajio ya serikali ni kuona uzalishaji unaongezeka mara mbili kuliko sasa.

Pia aliwataka maafisa kilimo hao wawatembelee wakulima na kuwapatia elimu ya kilimo bora na chenye tija endapo ikitokea kuna afisa kilimo ambae hatimizi majukuu yake ipasavyo basi hatua za kinidhamu zitachukuliwa zidi yake .

Kwa upande wake Kaimu mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya Tunduru Bw.Jonathani Haule  alisema ameyapokea maagizo yote yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru na atayatekeleza kwa Vitendo.

Matangazo

  • KUITWA KAZINI TUNDURU DC July 09, 2022
  • TANGAZO LA KAZI-Watendaji wa vijiji ,Madereva na Katibu Mahsusi May 20, 2022
  • Watumishi wa Umma walioma mwezi julai August 12, 2018
  • Orodha ya majina ya wanafunzi waliopangiwa kidato cha tano mwaka 2019 June 02, 2019
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Dc Mtatiro anaendelea kutekeleza Ahadi zake.

    July 27, 2022
  • DC MTATIRO AKABIDHI PIKIPIKI 64 KWA MAAFISA KILIMO TUNDURU

    June 24, 2022
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI

    May 02, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MUUNGANO

    April 27, 2022
  • Ona Zote

Video

Utekelezaji wa Ahadi
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.