• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

BILIONI 26.7 ZAINGIA KWENYE MZUNGUKO KUPITIA ZAO LA KOROSHO

Imewekwa : January 19th, 2023

Leo januari 19,2023 umefanyika mnada wa mwisho  kwa upande wa zao la korosho kwa mikoa ya Ruvuma,Njombe na Mbeya  ambapo mnada huo umefanyika katika wilaya ya Tunduru  kama ni sehemu ya kufanyia minada hiyo ya korosho kwa mikoa tajwa hapo juu.

Katika mnada wa leo kulikua na idadi ya kilo 168,237 za korosho katika maghara yote yaliyokuwa yanatunza korosho ambapo daraja la kwanza (1) zilikua kilo 94,643 na daraja la pili (2) zilikua 73,594, wanunuzi watatu walipendekeza bei zao kwa ajili ya kununua korosho hizo zote zilizopo gharani, ambapo baada ya  kufanyan uchakataji mnunuzi mmoja aliweza kununua korosho zote zilizopo gharani  kwa bei, kama ifuatavyo:-

  • Daraja la kwanza (1)  kilo 94,643 @ 1,605 Tzs
  • Daraja la pili (2) kilo 73594 @ 1,360 Tzs

Kutokana na minada yote kumi iliyopita takribani kilo 15,099,235 ziliuzwa hadi kufikia mnada huo wa kumi (10)  na kufanya kiasi cha shilingi bilioni 26.7 kuingia katika mzunguko wa mauzo ya korosho kutoka katika mikoa mitatu ambayo inalima korosho kwa nyanda za juu kusini yaani mkoa wa Ruvuma, Njombe na Mbeya kwa msimu wa korosho 2022/2023 .

Pia Wakulima watakiwa kufanya maandalizi mapema ya mashaamba yao kuanzia sasa ili kupata korosho bora kwa msimu ujao wa mauzo wa mwaka 2023/2024.

Matangazo

  • MATOKEO YA FORM FOUR 2022 - 2023 February 01, 2023
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 223.9 WILAYA YA TUNDURU

    March 25, 2023
  • SALAMU ZA PONGEZI

    March 19, 2023
  • MIONGOZO UENDESHAJI VYAMA VYA USHIRIKA

    March 17, 2023
  • WAKULIMA KOROSHO NA SOKO JIPYA

    March 14, 2023
  • Ona Zote

Video

MAADHIMISHO SIKU YA WANANWAKE
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.