Tarehe 01/07/2021 ulifanyika mnada wa 6 wilayani Tunduru. Jumla ya kilo zilizo kuwa zinauzwa ni 135,334 na jumla ya kampuni 4 walijitokeza kuomba kununua ufuta wa Tunduru ambao ni
1.EXPORT Trading Ltd kilo 135,334 kwa kilo 1 Tzs 2,160/=
2. Yihai Kerry kilo 135,334 kwa kilo 1 Tzs 2,373/=
3. Afrisian Ginning Ltd kilo 135,334 kwa kilo 1 Tzs 2,372/=
4.Lenic Tanzania Ltd kilo 135,334 kwa kilo 1 Tzs 2,150/=
Wakulima waliridhia kumuuzia mnunuzi Lenic Tanzania Ltd kilo zote 135,334 kwa bei ya kilo 1 Tzs 2,373/= Sawa na Tzs 321,147,582.00/=.
Mnada ulifanyika Kata ya Muhuwesi, kijiji cha Muhuwesi katika tarafa ya Nakapanya.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.