Tarehe 23/09/2021 umefanyika mnada wa tano na ni mnada wa mwisho kwa msimu huu wa mwaka 2021 katika ofisi za ushirika (TAMCU) wilaya ya tunduru .Jumla ya kilo zilizouzwa ni 139,504 na kampuni 1 ndio iliyojikoze kuomba kununua mbaazi za wilaya ya Tunduru ambaye ni.
NEIMON INVESTMENT TANZANIA LIMITED kilo 100,000 kwa kilo 1.110
Wakulima waliridhia kuiuzia kampuni hiyo kwa kilo zote 100,000. Na hivyo Tzs 111,000,000.00 kuingia kwenye mzunguko wa fedha katika wilaya ya tunduru.
Sambamba na hilo mwenyekiti wa TAMCU aliwasisitidha wakulima kuendele kulima zao hili kwa kwa sasa limekuwa mbadala wa mzao ya biashara na kuudha zao hilo kwa njia ya stakabadhi gharani.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.