• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Miradi Inayoendelea

Miradi ya Maendeleo Inayoendelea kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2017/2018

SEKTA YA AFYA.

katika mwaka wa fedha 2017/2018 serikali inaendele na utekelezaji wa miradi mbalimbali katika sekta ya afya, ambayo ina michango ya  fedha kutoka katika vyanzo mbalimbali, ikiwa fedha zingine ni zile za miradi ya maendeleo kutoka serikali kuu, mchango wa mapato ya ndani (Own source), mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo, na fedha kutoka kwa wahisani.

1.Ujenzi wa kituo cha Afya Mkasale, mradi huu ni upanuzi wa majengo katika kituo cha afya mkasale ambapo jumla ya miloni 400 zitatumika katika ujenzi wa Nyumba ya Mganga, Wodi ya mama na mtoto, Maabara, Chumba cha Upasuaji, chumba cha kuhifadhia maiti,kichomea taka na placenter Pit kwa ajili ya kutupa uchufu baada ya kinamama kujifungua.

1.JENGO LA MAABARA.

Ujenzi wa Jengo la Maabara katika Ukarabati unaoendelea katika kituo cha Afya cha Mkasale Wilayani Tunduru.

2.JENGO LA NYUMBA YA MGANGA.


Jengo la nyumba ya mganga linaloendelea kujengwa katika kituo  cha Afya Mkasale

3. JENGO LA MORTUARY 

Jengo la Mortuary kituo cha afya Mkasale ni miongoni mwa majengo ya yanaendelea kujengwa.

UJENZI WA WODI MBILI HOSPITALI YA WILAYA.

2. Ujenzi wa wodi hospitali ya Wilaya, katika hospitali ya wilaya halmashauri inaendelea na utekelezaji wa uboreshaji wa huduma za afya na kupitia mapato ya ndani katika mwaka wa fedha 2016/2017 serikali ilitenga shilingi milioni 150 kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya wanawake na wanaume ili kupata sehemu ya kupumzikia kwa wagonjwa wa upasuaji kwani hapo awali walikua wananchanganywa kwenye wodi za wagonjwa wa kawaida hali ambayo ni hatarishi kwa afya zao.


UJENZI WA KITUO CHA AFYA NAKAYAYA.

3.Ujenzi wa kitu cha Afya Nakayaya- mradi unafanyika kwa ushirikiano wa wadau wa maendeleo, mkuu wa wilaya na ofisi ya mkurugenzi mtandaji ili kuweza kupunguza changamoto ya mlundikano wa wagonjwa katika hospitali ya wilayakwani idadi ya wananchi wanaongezeka hivyo hospitali kulemewa.

Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Nakayaya  ulianza mwaka 2016 kwa mchango ya wafanyabishara na wadau mbalimbali waliouguswa na mipango ya utekelezaji wa seriakali ya awamu ya Tano wa Kuboresha Huduma za Afya.


Ni baadhi ya majengo ya mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Nakayaya unaoendelea kutekelezwa, kwa mchango wa wadau mbalimbali kwa kushirikiana na serikali. 


UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA -ZAHANATI YA NAIKULA

Halmashauri  katika mwaka wa fedha 2017/2018 ilitenga fedha kiasi cha shilingi milioni 30,000,000. kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya mtumishi ya moja kwa mbili katika zahanati ya Naikula kupitia fedha za makusanyo ya ndani. Ujenzi huo upo katika hatua ya umaliziaji wa ujenzi wa stoo, jiko, bafu na vyoo.


Jengo la Nyumba ya Mtumishi Zahanati ya Naikula  Kata ya Namasakata.


UJENZI WA ZAHANATI KIJIJI CHA LEGEZAMWENDO.

Mradi wa ujenzi zahanati katika kijiji cha Legezamwendo ulinza mwaka wa fedha 2011/2012, kwa kutumia fedha za Ruzuku ya Maendeleo ya Halmashauri, hadi kufikia sasa mradi huu umegharimu jumla ya milioni 120,000,000. ujenzi huu baadhi ya majengo yamekamilika na mengine yanaendelea kujengwa kulingana na upatikanaji wa fedha.


Matangazo

  • MATOKEO YA FORM FOUR 2022 - 2023 February 01, 2023
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 223.9 WILAYA YA TUNDURU

    March 25, 2023
  • SALAMU ZA PONGEZI

    March 19, 2023
  • MIONGOZO UENDESHAJI VYAMA VYA USHIRIKA

    March 17, 2023
  • WAKULIMA KOROSHO NA SOKO JIPYA

    March 14, 2023
  • Ona Zote

Video

MAADHIMISHO SIKU YA WANANWAKE
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.