kabila la wayao ndio kabila kubwa wilaya ya Tunduru na asili yao walitoka katika nchi ya Msumbiji wakikimbia vita ya utawala wa wareno, hivyo waliweka makazi yao kando kando ya mto Ruvuma na katika Wilaya ya Tunduru.
Asili ya Wayao ni Kutoka<
ndio kuna umbali wa kila kijiji kutoka makao makuu ya wilaya inagia website ya Halmashauri download UMBALI KUTOKA TUNDURU MJINI ADI
Tunduru ina km za mraba 18,778
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wilaya ipo katika jengo la boma, ghorofa ya chini upande wa kushoto.
Tunduru inalima mazao ya kilimo na biashara kama korosho, mbaazi, ufuta, mpunga, choroko, karanga.
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.