• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Miradi Iliyokamilika

MRADI WA UJENZI WA MADARASA 2 NA MATUNDU 8 YA VYOO KATIKA SHULE YA SEKONDARI NAKAPANYA

 

Mradi huu wa ujenzi wa Madarasa mawili (2) na matundu nane (8) ya vyoo ulifadhiliwa na BenkI ya Dunia (World Bank) kupitia Mpango wa Pili wa Maendeleo wa Elimu ya Sekondari (MMES II). Mradi huu ulianza kutekelezwa mwaka wa fedha 2015/2016 kwa gharama ya Tsh.86,000,000.00 kwa mchanganuo ufuatao;

  • Ujenzi wa Madarasa mawili;                                            Tsh.50,000,000.00
  • Ujenzi wa matundu 8 ya vyoo;                                         Tsh.36,000,000.00
  • Jumla kuu ni                                                        Tsh.86,000,000.00

Malengo ya mradi wa ujenzi wa vymba vya madarasa na vyoo ilikuwa ni,

  • Kuboresha miundo mbinu ya shule
  • Kupunguza mlundikano wa wanafunzi darasani ili kuwa na uwiano mzuri wa Wanafunzi darasani, yaani kufikia lengo la uwiano wa darasa 1 kwa wanafunzi 40
  • Kuboresha mazingira ya kusomea na kufundishia mashuleni na kuboresha kiwango cha taaluma.

 

Mradi ulitekelezwa chini mkandarasi kutoka kampuni ya  Mkonwa Company Limited aliyepewa zabuni ya kujenga Madarasa yote mawili (2) na matundu nane (8) ya vyoo ambapo alikamilisha kazi ya ujenzi na kukabidhi mradi tarehe 06/12/2016.

Mradi huu ulifunguliwa rasmi katika mbio za mwenge kitaifa terehe 11/05/2017 na kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Ndg Amour Hamad Amour.

Ujenzi wa Hotesteli 2, maabara, matundu ya vyoo na vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari Nandembo.

Halmashauri inaendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa  hosteli mbili (2) madarasa manne (4) na ukarabati wa  maabara tatu (3)  za masomo ya sayansi na ujenzi wa Matundu  10 ya vyoo, mradi unawezeshwa na P4R na  jumla ya shilingi milioni 259 zitatumika mpaka kukamilika kwa kazi zote sehemu ya mradi huu.

  1. ujenzi wa vyumba 4 vya madarasa. ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa umekamilika kwa asilimia 100 na madarasa yatumika kwa sasa.
  2. vyumba vya madarasa vilivyokamilika kwa ajili ya matumizi 
  3. Matundu ya vyoo katika shule za Msingi na sekondari
  4. Miradi ya maji 
  5. Ujenzi wa Hosteli



Matangazo

  • MABADILIKO TAREHE YA USAILI TUNDURU DC June 22, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 22, 2021
  • TANGAZO LA KAZI-Watendaji wa vijiji ,Madereva na Katibu Mahsusi May 20, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 19, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC MTATIRO AKABIDHI PIKIPIKI 64 KWA MAAFISA KILIMO TUNDURU

    June 24, 2022
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI

    May 02, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MUUNGANO

    April 27, 2022
  • MWENGE WA UHURU 2022

    April 11, 2022
  • Ona Zote

Video

KATIKA KUSHEREHEKEA UHURU WA TANGANYIKA.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.