• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Maendeleo ya Jamii



MAENDELEO YA JAMII


Jocelyne Mganga 

Kaimu Mkuu wa Idara

IDADI YA WATUMISHI KATIKA IDARA

Idara ya Maendeleo ya Jamii ni miongoni mwa idara 13 za Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru, Idara ina jumla ya watumishi 11 na Kaimu Mkuu wa idara  mmoja ambaye anasimamia shuguli zote za idara na vitengo vyake vyote.

1.2. MAJUKUMU YA IDARA

Idara ya Maendeleo ya Jamii ina majukumu mbalimbali kama yafuatavyo :

  • Kushirikisha wananchi/Jamii katika kuibua,kupanga na kutekeleza miradi ya Maendeleo
  • Kuhamasisha uundaji,uanzilishaji na uendeshaji wa vikundi vya ujasiriamalikwa makundi yote ya kijamii.
  • Kufuatilia urejeshaji wa mikopo inayotolewa  nakwa vikundi vya vijana na Wanawake
  • Kuwaelimisha wananchi juu ya kujenga na kuishi katika nyumba bora
  • Kutoa elimu ya kuhamasisha wananchi kupima virusi vya UKIMWI kwa hiari kwa lengola kudhibiti maambukizi mapya.
  • Kupambana na mila potofu zinazowakandamiza wanawake kwa kujenga usawa wa kijinsia katika jamii
  • Kukusanya na kuhifadhi takwimu mbalimbali za kijamii ili kurahisisha upangaji wa mipango na utoaji wa huduma katika jamii.
  • Kuhamasisha jamii na Asasi za kiraia kuanzisha na kuendeleza vituo vya kulelea watoto.
  • Kutoa mafunzo na elimu kwa wazazi wa watoto wenye utapiamlo mkali katika jamii.
  • Kupambana na kukemea matumizi ya madawa ya kulevya kwa makundi yote katika jamii.
  • Kutoa mafunzo kwa mafundi wa vijijini ili kuboresha ufundi wao katika fani za Uashi na Uselemala
  • Kuratibu na kusimamia mafunzo ya viongozi wa Vijiji na kata pia Vikundi mbalimbali .

1.3. VITENGO VYA IDARA;

Idara ya Maendeleo ya Jamii  imegawanyika katika vitengo vikuu 03

kitengo cha Utafiti,Mipango na Miradi

 kitengo cha Wanawake   na watoto

Kitengo cha Kikosi cha Ujenzi.

kitengo cha Tasaf

1.4. HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA IDARA KWA JAMII

Idara inatoa huduma mbalimbali  kwa jamii ikiwemo:

  • Kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa vikundi vya kijasiriamali vya vijana na Wanawake.
  • Kusajili vikundi vya kijasiriamali vya  vijana na wanawake
  • Kutoa elimu ya matumizi sahihi ya kondomu kwa jamii
  • Kutoa elimu ya masuala ya lishe kwa jamii.
  • Kufanya ufuatiliaji wa miradi mbalimbali ya vikundi vya wanawake na vijana ili iwe endelevu.

KITENGO CHA TASAF

  • Kitengo cha TASAF (Mfuko wa Maendeleo ya Jamii) kiko chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii katika Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru.

IDADI YA WATUMISHI

  • Kitengo kina jumla ya watumishi 8 ambao ni Mratibu mmoja,Mhasibu mmoja,Wawezeshaji 4,katibu mutasi 1 na dereva 1, ambapo mratibu ndiye msimamizi wa shughuli zote za Tasaf wilaya. Mratibu wa tasaf wilaya,ndiye mkuu wa kitengo ni Ndg. MUHIDIN SHAIBU

MAJUKUMU YA KITENGO

  • Majukumu ya kitengo ni kuendeleza rasilimali watu na miundombinu kwa kushirikiana na jamii kam ifuatavyo.
  • Kusimamia utoaji ruzuku kwa walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini
  • Kusikiliza malalamiko ya walengwa na kutolea ufafanuzi.
  • Kuhamasisha walengwa kuandikisha watoto shule na kuhakikisha wanahudhuria masomo
  • Kuhamasisha wazazi kupeleka watoto kliniki kulingana na ratiba inavyotaka.
  • Kuhamasisha walengwa kujiunga na huduma ya afya ya jamii (CHF)
  • Kusimamia miradi inayopelekwa na mfuko wa kunusuru Kaya maskini vijijini (TASAF)

Matangazo

  • MATOKEO YA FORM FOUR 2022 - 2023 February 01, 2023
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • BILIONI 223.9 WILAYA YA TUNDURU

    March 25, 2023
  • SALAMU ZA PONGEZI

    March 19, 2023
  • MIONGOZO UENDESHAJI VYAMA VYA USHIRIKA

    March 17, 2023
  • WAKULIMA KOROSHO NA SOKO JIPYA

    March 14, 2023
  • Ona Zote

Video

MAADHIMISHO SIKU YA WANANWAKE
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.