Ofisi ya Afisa Mwandikishaji Jimbo la Tunduru Kusini na Kaskazini anatangaza nafasi za kazi kwa waandishi wasaidizi na BVR kit Operator ndani ya halmashauri ya Tunduru.
Kusoma tangazo kwa undani pakua link yenye maandishi ya blue hapa chini
Halmashauri ya Wilaya Tunduru
Anuani ya Posta: 275, TUNDURU
Simu: + 255-025-2680004
Simu ya Nununu:
Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz
Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.