• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
  • Utawala
    • Departiment
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu Msingi
      • Maji
      • Elimu Sekondari
      • Afya
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maliasili na Utalii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Utumishi
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Information, Technology, Communication and Public Relation
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Biashara na Viwanda
    • Mining
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Kilimo
    • Elimu
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
    • Mifugo na Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha za Madiwani
      • Kata ya Mbati
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Time Table
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Tarajali
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Machapisho
    • Mkataba wa Huduma kwa wateja
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video
    • Habari

Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika

ifahamu Idara ya Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika ya Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru 

Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika ni miongoni mwa idara mama katika Halmashauri ya wilay aya Tunduru, Idara ina jumla ya watumishi 75 na mkuu wa idara mmoja ambaye anasimamia na kuratibu shughuli zote za idara. Idara hii ina mawanda mapana kwani imegawanyika katika sekta ya kilimo na ushirika

Majukumu/Huduma za kitengo cha Kilimo ni kama ifuatavyo

  • Kuhamasisha wakulima kutumia zana bora za kilimo
  • Kusimamia na kuboresha uzalishaji wa mazao ya chakula na biashara mfano kama Korosho, Mahindi,Mpunga,Ufuta,Mbaazi,Choroko,Mihogo,Viazi nk
  • Kusimamia na kuboresha miundombinu ya umwagiliaji,maghala na masoko
  • Kusimamia na kuboresha uzalishaji w amboga mboga na matunda
  • Kukusanya na kutunza takwimu za kilimo
  • Kufuatilia na kusimamia shughuli za utoaji elimu kwa wakulima (Extension)


Majukumu ya kitengo cha Ushirika ni kama ifuatavyo

  • Kuhamasisha na kutoa elimu ya ushirika kwa jamii
  • Kusimamia mchakato wa uanzishwaji wa vyama vya ushirika vya aina mbalimbali
  • Kukagua,kusimamia na kutoa ushauri wa namna bora ya uendeshaji wa vyama vya ushirika.
  • Kutoa elimu kwa wanachama,bodi na watendaji wa vyama vya Ushirika
  • Kushughulikia migogoro ya baadhi ya vyama vya Ushirika vya mazao
  • Kufuatilia takwimu za ununuzi na mapokezi ya korosho kila pindi msimu unapoanza.
  • Kufanya ukaguzi wa awali wa vitabu vya ununuzi wa korosho.
  • Kufuatilia uhai wa VICOBA
  •  

MIRADI ILIYOTEKELEZWA 2016/2017:

  • Mpango wa Wilaya wa kuendeleza kilimo(DADPS)
  • Ujenzi wa barabara ya kuelekea skimu za umwagiliaji ya Leloleo 3.5 km na Kitanda 6.6 km
  • Ujenzi wa barabara ya kuelekea skimu za umwagiliaji ya Madaba 5.5 km na Misyaje 7.3km
  • Ujenzi wa miundombinu ya Soko la mchele na Ghala Nakayaya.

Matangazo

  • MABADILIKO TAREHE YA USAILI TUNDURU DC June 22, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2022 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 22, 2021
  • TANGAZO LA KAZI-Watendaji wa vijiji ,Madereva na Katibu Mahsusi May 20, 2022
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA TUNDURU December 19, 2020
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • DC MTATIRO AKABIDHI PIKIPIKI 64 KWA MAAFISA KILIMO TUNDURU

    June 24, 2022
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA PILI

    May 02, 2022
  • MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MUUNGANO

    April 27, 2022
  • MWENGE WA UHURU 2022

    April 11, 2022
  • Ona Zote

Video

KATIKA KUSHEREHEKEA UHURU WA TANGANYIKA.
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • MATOKEO YA MITIHANI
  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Ijue Sheria ya Umiliki wa Ardhi ya Mwaka 1999
  • Taarifa ya Ukimwi kuishia decemba 2017
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu:

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2019 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.