• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Tunduru District Council
Tunduru District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maji
      • Afya
      • Environment and Sanitation
      • Elimu Msingi
      • Liverstock and Fisheries
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Planning, Statistics and Followup
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Rasilimali watu
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Tehama na Mahusiano kwa Umma
      • Ugavi na Mannunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Mipaka ya Halmashauri
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • watumishi wa Umma
    • Uvuvi
    • Kilimo
    • ufugaji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Maadili
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya M/kiti
    • Orodha ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Tarajiwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Majarida
    • Sheria
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Picha
      • Habari
        • speeche
    • Video
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Tasaf Kubadilisha Uchumi wa Walengwa

Imewekwa : April 2nd, 2018

TASAF III ni muendelezo wa awamu mbili za mrdi wa kunusuru kaya maskini  Nchini, mpango huu unalenga katika kumuwezesha mwananchi mwenye hali duni ya maisha kuweza kujikwamua, kupata ahueni katika masuala ya lishe, afya na elimu.

Halmashauri ya wilaya ya tunduru ni miongoni mwa halmashauri nyingi nchini mambazo zinatekeleza mradi wa kunusuru kaya maskani na katika awamu ya tatu ambayo imeanza mwaka 2014 jumla ya kaya 15,813 zilibainishwa na kuanza kunufaika na ruzuku ya afya,elimu na lishe.

Taarifa inaendelea kutanabaisha kuwa walengwa wanashiriki katika shughuli mbalimbali za kuwaletea maendeleo walengwa ili kuweza kuondokana kabisa na umasikini, ikiwa ukarabari wa miundombinu, ujenzi wa vituo vya kutoa huduma za afya, na kazi nyingine kama ufugaji, kilimo na biashara ndogondogo.

Katika ajira za muda mfupi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 Halmashauri ya wilaya ya Tunduru imefanya kazi kazi mbali mbali ikiwa ni pamoja na upandaji wa miti ya matunda,mbao na ile ya kutunza vyanzo vya maji kuzunguka vyanzo vya maji.

Kisima cha maji katika kijiji cha lijombo kikiwa katika hatua za ukarabati, kazi iliyofanywa kwa ushirikiano wa Idara ya maji na Idara ya maendeleo ya Jamii inayosimamia utekelezaji wa mradi kunusuru kaya maskini.

sambamba na hayo walengwa walishiriki katika ukarabati wa visima vya maji ili kurahisha upatikanaji wa maji na kawawezesha walengwa kuweza kushiriki katika shughuli za kiuchumi. "katika kile kipindi cha mwaka wa fedha 2017/2018 tumefanikiwa kukarabati isima cha maji katika kijiji cha lijombo, utengenezaji wa lambo la kuhifadhia maji ya mvua ili kipindi cha kiangazi kurahisisha wananchi kupata maji, kusimamia uchimbwaji wa mabwawa ya kufugia samaki" alisema mrtibu wa Tasaf wilaya Ndg Muhidin Shaibu.

wanufaika wa kaya maskini wilayani Tunduru wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kazi za ajira za muda zinazotolewa na Tasaf ili kuwaongezea walengwa kipato.

Utokomezaji wa hali duni kwa wananchi wa wilaya ya Tunduru unawezekana kwa viongozi kushirikiana na wananchi kwa karibu na kutoa elimu ya namna bora ya kilimo bora cha kisasa, ufugaji wa kisasa na wenye tija, hivyo wataalamu wa kilimo, mifugo na ustawi wa jamii wahamasishe wananchi kuona umuhimu wa kushiriki katika uzalishaji mali zaidi ya kuwa na mawazo kuwa serikali inafanya kila jambo


Matangazo

  • Majina ya watumishi watakaolipwa madeni mwezi february 2017 February 11, 2018
  • TANGAZO LA KAZI WAKALA WA BARABARA MJINI NA VIJIJI (TARURA) March 04, 2018
  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili Mamlaka ya Barabara mjini na vijijini -TARURA March 21, 2018
  • Majina ya Ajira Mpya mwezi Februari February 12, 2018
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • Tasaf Kubadilisha Uchumi wa Walengwa

    April 02, 2018
  • Shida ya Maji Amani sasa Basi.

    March 23, 2018
  • WAFAHAMU NINI JUU YA BIMA....?

    March 16, 2018
  • Kilimo cha Muhogo

    March 10, 2018
  • Ona Zote

Video

watu wawili wauawa na mamba
Video Nyingine

viunganishi vya Haraka

  • Mkataba wa huduma kwa Mteja
  • muongozo wa Tehama
  • Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Tunduru

Tovuti linganifu

  • Tovuti Kuu ya Rais - IKULU
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Idara ya Habari Maelezo

wasomaji mbalimbali Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya Tunduru

    Anuani ya Posta: 275, TUNDURU

    Simu: + 255-025-2680004

    Simu ya Nununu: 0764287387

    Barua Pepe: info@tundurudc.go.tz

Anuani nyingine

   

Idadi ya wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Kituo

Hakimiliki©2017 Halmashauri ya Wilaya Tunduru.Haki zote zimehifadhiwa.